B. A. B. U
3,49€
  • EAN : 9798230309642
  • Protection numérique : Pas de protection

ebook

Achat immédiat, sans abonnement.

Le saviez vous ?

Lisez votre e-book sur ordinateur, tablette et mobile grâce aux applications :


Vivlio et Cultura
partenaires pour vos
lectures numériques
Tout est synchronisé
grâce à votre compte
Cultura
Une aide en ligne pour
vous accompagner

Coups de cœur Cultura

Tous les passeurs de culture peuvent partager leurs découvertes !
Tu as aimé ce produit ? Partage dès maintenant ton coup de coeur :

loader
loader
loader
loader
loader
loader
loader
loader

description

descriptif du fournisseur

  Kwa mujibu wa taarifa  za intelijensia ndani ya Afrika nzima. Kuna mpango hatari sana uliyoundwa, ambao ungekuja kuhatarisha maisha ya bara zima. Hivyo kuzuia usitokee ndiyo suluhu tosha. Kitu ambacho watu wa usalama ndani ya umoja wa Afrika (AU) walikata shauri  kukitimiza.


 Majasusi watatu toka nchi tofauti wanateuliwa na kila mmoja kupewa jina bandia. Wanakutanishwa na kufanya operesheni hiyo ya siri kwa pamoja. Dhumuni kuu walinde bara zima, suala ambalo linawafanya wakutane na mapya. Yaliyowaacha mdomo wazi kwa kuona bara zima lilielekea kushikiliwa na wachache.


 Kazi yao inayowachukua miezi haikuenda bure, walifanikiwa kunusuru hatari iliyoelekea kulikumba bara zima kwa ujasiri mkubwa.

 
B. A. B. U

B. A. B. U


On vous recommande avec votre achat
B. A. B. U

B. A. B. U

3,49
+

Découvrez aussi