retirez en magasin sous 2h
magasin dès le lendemain
4 fois sans frais par carte bancaire
sous 30 jours
Dernières recherches
ebook
Le saviez vous ?
Lisez votre e-book sur ordinateur, tablette et mobile grâce aux applications :
Coups de cœur Cultura
Tous les passeurs de culture peuvent partager leurs découvertes !
Tu as aimé ce produit ? Partage dès maintenant ton coup de coeur :
Wachungaji wengi waliofadhaishwa wamejiuliza swali hili: "Kwa nini kanisa hili Halina maendeleo?" Unautambuzi wa hili swali, sivyo? Unaweza kuwa mchungaji mpya aliyeteuliwa, mmisionari kwa mataifa, mchungaji anayeanzisha tawi la kanisa lenye mafanikio… orodha inaendelea!
Hili ni swali ambalo wengi wetu tunahitaji jibu.Katika mtindo wake wa kawaida, wa vitendo na uhalisia, mwandishi anayeuzwa sana Dag Heward-Mills, anashughulikia swali ambalo limekuwa likiomba jibu.
Hili ni jambo la lazima kusomwa kwa mtu yeyote anayechunga kanisa; yeyote ambaye ana nia ya kushiriki injili ya Yesu Kristo na kuwakusanya watu kwa Mungu.