retirez en magasin sous 2h
magasin dès le lendemain
4 fois sans frais par carte bancaire
sous 30 jours
Dernières recherches
ebook
Le saviez vous ?
Lisez votre e-book sur ordinateur, tablette et mobile grâce aux applications :
Coups de cœur Cultura
Tous les passeurs de culture peuvent partager leurs découvertes !
Tu as aimé ce produit ? Partage dès maintenant ton coup de coeur :
Miaka kama kumi kupita toka waziri wa ulinzi auawe, huku muuaji kutojulikana alipo. EASA bado iliendelea kumchunguza, licha ya vyombo vingine kuachana nalo kisa ushawishi wa familia marehemu waliyotaka kulipa kisasi wenyewe.
Alikuja kubainika yupo baada ya aliyemtuma hapo awali kujitokeza. Safari hiyo akitaka kumpa kazi nyingine ya kuua. Alipoishia kugoma na hapo akaanza kuwindwa yeye. Kwani aliyetuma alijua kulazimisha, hakujali hali yeyote ya mtu amri kwake ndiyo kila kitu.
Akaja kuingia maji marefu, EASA wakamjua ila hawana namna ya kumkamata kisa ushahidi. Huku aliyowaagiza nao wanamsaka walipoona ni muda mwafaka wa kulipiwa kisasi.