retirez en magasin sous 2h
magasin dès le lendemain
4 fois sans frais par carte bancaire
sous 30 jours
Dernières recherches
ebook
Le saviez vous ?
Lisez votre e-book sur ordinateur, tablette et mobile grâce aux applications :
Coups de cœur Cultura
Tous les passeurs de culture peuvent partager leurs découvertes !
Tu as aimé ce produit ? Partage dès maintenant ton coup de coeur :
Kitabu cha Mihimili ya Kusimamia Katika Maisha ya Kiroho ni mwongozo wenye mvuto uliandikwa kwa lugha rahisi ili kumsaidia Mkristo kumuishi Mungu kwa vitendo. Mwandishi, Fadhili Zebadia Bange, anafafanua safari ya kiroho inayoanza na kusikia Neno la Mungu, kuamini kupitia Yesu Kristo, na kupokea neema ya Roho Mtakatifu ambaye humsaidia muumini katika kuomba na kutoa sadaka kwa moyo wa kupenda. Kupitia mafunuo haya na marejeo mengi ya maandiko matakatifu, msomaji anajengwa ili asiwe mtu wa kawaida tena.
Lengo kuu la kitabu hiki ni kuhakikisha kuwa maisha ya kiroho yanazaa matokeo yanayoshikika katika ulimwengu wa mwili. Mafundisho yaliyomo yamejikita katika kuleta mabadiliko chanya kwenye nyanja mbalimbali za maisha kama vile uchumi, afya, na mahusiano ya kijamii. Ni nakala muhimu kwa mtu yeyote aliyeamua kudhihirisha nguvu ya Mungu katika mfumo wake wa maisha ya kila siku kwa mafunuo makubwa na ya kina.