Namna ya Kushinda katika Majira ya Uovu

Namna ya Kushinda katika Majira ya Uovu
1,99€

ebook

Achat immédiat, sans abonnement.

Le saviez vous ?

Lisez votre e-book sur ordinateur, tablette et mobile grâce aux applications :


Vivlio et Cultura
partenaires pour vos
lectures numériques
Tout est synchronisé
grâce à votre compte
Cultura
Une aide en ligne pour
vous accompagner

Coups de cœur Cultura

Tous les passeurs de culture peuvent partager leurs découvertes !
Tu as aimé ce produit ? Partage dès maintenant ton coup de coeur :

loader
loader
loader
loader
loader
loader
loader
loader

description

descriptif du fournisseur

Je unajua kuwa kuna nguvu ya uovu isiyooneka inayopambana na wewe katika kila hatua ya maisha yako? Je unajua kuwa kuna nguvu imetumwa kuharibu maisha yako? Je unajua kuwa kuna nguvu zinazokuzuia usifanikiwe, kukuharibia mapito yako na kukusababishia mporomoko katika kila jambo unalolifanya? Kama utahitaji nikufungue macho yako na kuchukua hatua, unahitaji maarifa haya. Watu wengi wanafikiri wakiishi maisha ya uungwana bila kubughudhi watu au mamlaka basi watakuwa salama. Sio kweli.


2 Wathesalonike 2:7-8
Maana ile nguvu ya siri ya uasi imekwisha anza kufanya kazi;

Nguvu hii ya uovu kwa sehemu kubwa inatumia watu wenye mamlaka na wenye kutoa maamuzi na kutunga sheria zinazoeneza maovu. Watu wengi watafikiri ni watu wa wakawaida au viongozi wao wa kila siku, lakini ukweli ni kwamba ni roho za kuzimu yanayofanya kazi kuwatumia watu wenye mamlaka. Majira haya ndio yaliyotabiriwa kuwa yatatokea siku za mwisho, tatizo ni watu wa Mungu kutokufahamu majira na namna ya kumjua adui yao halisi na kumkabili ipasavyo. 


Kumbuka pia maandiko matakatifu yanasema chukizo la uharibifu litasimama, maana yake hata watu wazuri watageuzwa mioyo yao wafanye uovu na uharibifu bila kujua kama wanafanya kazi za shetani. Badala ya kupambana na adui yao halisi watageuka na kupambana na ndugu zao. Adui shetani atafurahi sana kuona tunapigana sisi kwa sisi badala ya kumpiga adui. Watumishi wengi wa Mungu bado wanatoa ahadi za maisha ya utajiri wa dunia kana kwamba tutakaa milele hapa duniani.


Lengo la kitabu hiki ni kuwaamsha watu wa Mungu na watu wa dunia hii, kwanza kumtambua adui wao kamili ili waache kupigana na vivuli. Tatizo kubwa hata watu wa Mungu hawajui majira tuliyonayo na badala yake wanapambana kama watu wadunia hii.  Nakukaribisha msomaji ujifunze siri za kuishi na kushinda katika majira haya ya uovu mkuu.

 
Namna ya Kushinda katika Majira ya Uovu

Namna ya Kushinda katika Majira ya Uovu


On vous recommande avec votre achat
Namna ya Kushinda katika Majira ya Uovu

Namna ya Kushinda katika Majira ya Uovu

1,99
+