retirez en magasin sous 2h
magasin dès le lendemain
4 fois sans frais par carte bancaire
sous 30 jours
Dernières recherches
ebook
Le saviez vous ?
Lisez votre e-book sur ordinateur, tablette et mobile grâce aux applications :
Coups de cœur Cultura
Tous les passeurs de culture peuvent partager leurs découvertes !
Tu as aimé ce produit ? Partage dès maintenant ton coup de coeur :
Kitabu hiki ni matokeo ya somo tulio kuwa tunajifunza katika semina ya neno la Mungu . Roho mtakafu ameweka msukumo ndani yangu nikushirikishe somo hili kwa njia ya kitabu hiki.
Ukiwa umesoma mpaka sentensi hii basi umekuwa sehemu ya wale walio teuliwa kuijua siri ya maombi kupitia kitabu hiki, nakushi sana ukisoma kitabu hiki.
Ndani ya kitabu hiki utanifunza mambo mengi,ikiwemo kupata majibu ya maswali ambayo waamini wengi hujiuliza kuhusu maombi wamwombayo Mubgu kama:
kama:?????????
kwa nini tunaomba Mungu ikiwa Mungu anatupenda?. Je Maombi hujibiwa na Mungu?. Nani anapaswa kuwa mwombaji?.4. Je naweza kuomba chochote nikapewa?.
Haya ni badhi tu ya maswali unayoweza kupata majibu yake ndani ya kitabu hiki. Kuna mengi sana utajifunza kuhusu imani ya kikristo.
Karibu tujifunze pamoja kusudi upate kuijua siri ya maombi ukue kiroho.