Nouveauté
Ralond na Desmond
3,99€

ebook

Achat immédiat, sans abonnement.

Le saviez vous ?

Lisez votre e-book sur ordinateur, tablette et mobile grâce aux applications :


Vivlio et Cultura
partenaires pour vos
lectures numériques
Tout est synchronisé
grâce à votre compte
Cultura
Une aide en ligne pour
vous accompagner

Coups de cœur Cultura

Tous les passeurs de culture peuvent partager leurs découvertes !
Tu as aimé ce produit ? Partage dès maintenant ton coup de coeur :

loader
loader
loader
loader
loader
loader
loader
loader

description

descriptif du fournisseur

  Ralond na Desmond wanamuziki na waigizaji pacha wa kitanzania, wanapitia changamoto kubwa baada ya kuwa maarufu mjini, uhasama baina yao na kundi la mabinti ambao wapo kwenye upande wa burudani unakuwa zaidi na kufikia kuwa vita zaidi.

 Genge la mabinti waliyo na uhasama ni sehemu ya mtandao wa madawa ya kulevya. Wenye kujulikana kuwa na ukwasi mkubwa mjini, ila nyuma yake ni wanajihusisha na biashara haramu. Pia wanatumia uwepo wao huko na kumwigiza pacha mmoja kwenye mtandao huo.

 Pacha huyo anapambana na kuja kutoka salama na kupanga kusimulia mkasa aliyopitia. Hapo ndiyo waliyopo mtandao ule wa madawa hawakutaka litokee, bado wanausalama wa EASA wanaingia kazini kutokana na uchunguzi wao. Matokeo ni kugundulika kilichojificha nyuma ya mtandao mpana wa unga.
 

 
Ralond na Desmond

Ralond na Desmond


On vous recommande avec votre achat
Ralond na Desmond

Ralond na Desmond

3,99
+