retirez en magasin sous 2h
magasin dès le lendemain
4 fois sans frais par carte bancaire
sous 30 jours
Dernières recherches
ebook
Le saviez vous ?
Lisez votre e-book sur ordinateur, tablette et mobile grâce aux applications :
Coups de cœur Cultura
Tous les passeurs de culture peuvent partager leurs découvertes !
Tu as aimé ce produit ? Partage dès maintenant ton coup de coeur :
Balaa juu ya balaa mwishowe likazuia kizaazaa. Yote hayo yameanza baada ya kutokea ajali ya ndege ya ajabu. Zilitokana na kugongana baada ya moja kutumia njia ya kuruka ya ndege nyingine kutua. mwishowe ni ajali mbaya ilipelekea kutokee mlipuko. Hadi watu wakahisi ni mambo ya mabomu yamerudi Dar es salaam.
Kumbe kulitokea usaliti mkubwa, uliyofanyika ndani ya EASA. Kwani ndege mojawapo ilibeba mhalifu mkubwa. Aliyetakiwa kufikishwa makao yao, ila mambo yalikuja kubadilika baada ya tukio hilo. Inambidi CE kumpa kazi N001 kwa siri, achunguze
Mkuu wa EASA tawi la Dar es salaam (CE) anasimamishwa kazi kiajabu, Norene ambaye ni sekretari wake yanamkuta. EASA imevamiwa!
Ni SIKU YA HARUSI, iliyobeba hatima na ushindi wa wazalendo.