Siku Yako
2,99€

ebook

Achat immédiat, sans abonnement.

Le saviez vous ?

Lisez votre e-book sur ordinateur, tablette et mobile grâce aux applications :


Vivlio et Cultura
partenaires pour vos
lectures numériques
Tout est synchronisé
grâce à votre compte
Cultura
Une aide en ligne pour
vous accompagner

Coups de cœur Cultura

Tous les passeurs de culture peuvent partager leurs découvertes !
Tu as aimé ce produit ? Partage dès maintenant ton coup de coeur :

loader
loader
loader
loader
loader
loader
loader
loader

description

descriptif du fournisseur


 Misheni aliyoambiwa kuwa ni operesheni ya siri, aliyotakiwa kuifanya akiwa hajulikani kama ni afisa wa jeshi la wananchi wa Tanzania. Ndiyo inageuka kuwa chungu ya maisha. Anapoteza kazi, akipewa tuhuma mpya za kughushi vyeti, sambamba na zingine za kuhusika na mtandao wa madawa ya kulevya.

 

 Kazi ambayo aliitenda  kwa wema inageuka kuwa chungu ya maisha. Anakionja kifungo na akiwa huko gerezani, kunafanyika mchezo mwingine mchafu. Hakutakiwa kuwa anajikuta akipangiwa njama ya kumuua.

 

 Mwaka mmoja baadaye toka iliposemekana aliuawa. Uhakiki wa vyeti bandia kwa watumishi wa umma unaanzwa kwa hatua za awali kabla ya kutangazwa. Ajabu mwenye kujulikana ndiye mwenye vyeti halisi, ilibainika ni feki huku afisa wa jeshi aliyefukuzwa na kufungwa akajulikana kauawa ikionekana ni halisi.

 

 Suala linamfika Norbert Kaila, anayeamua kuingia kazini kulichunguza. Mapya yanaibuka kukiwepo mtandao mpana sana, uliyoshika mzizi ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama
 

 
Siku Yako

Siku Yako


On vous recommande avec votre achat
Siku Yako

Siku Yako

2,99
+